Kuanza kwa zoezi hilo sasa ni ishara nzuri kuelekea uwekaji
wa nyasi bandia kwenye uwanja huo, zoezi ambalo limesubiriwa kwa muda mrefu
kiasi cha kuzua maswari mengi miongoni mwa wadau wa soka Jijini Mwanza.
Uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja wa Nyamagana
unaratibiwa na shirikisho la soka duniani FIFA chini ya mpango wa FIFA GOAL
PROJECT.
Kwa taarifa zaidi kuhusiana na ukarabati wa uwanja wa Nyamagana
na uwekaji wa nyasi Bandia ikiwemo picha kuhusiana na tukio hilo,
Fuatilia:- http://isaackwakuganda.blogspot.com/

0 comments:
Post a Comment