Everton yaanza kwa kishindo Europa



wachezaji wa Everton wakishangilia ushindi dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani


Michuano ya UEROPA maarufu kama UEFA ndogo ilichezwa usiku wa kuamkia hii leo ambapo Everton ya England hapo jana ilialinza kwa kuisambaratisha Wolfsburg ya Ujeruman magoli 4 - 1.

Timu ya Tottenham walikuwa wagen wa Partizan Belgrade ya Serbia ambazo zitoka sare ya kutofungana huku Villarreal ikatoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Borussia Monchengladbach pia ni ya Ujeruman.
Nayo FC Red Bull Salsburg ya Austria ikaishia sare ya 2-2 dhidi ya Celtic.
Mchezo mwingine ulikuwa ni kati ya Fiorentina ambayo ilibanjua Guingamp ya Ufaransa kwa jumla ya 3-0, nayo Zurich ikapokea kipigo cha mabao 2-3 kutoka kwa Apollon Limassol ya Ugiriki

Matokeo mengine ni mechi ya Brugge ya ubeligiji ilitoka sare ya bila kufungana dhidi ya Torino ya Italia na Dynamo Kiev ikaifunga Rio Ave ya Ureno magori 3-0.
Mshambuliaji wa Everton Lukaku akimtoka mlinzi wa Wolfsburg ya Ujerumani
Share on Google Plus

About Unknown

"Is the CEO and Co-Founder of wakuganda in sports blog, dedicated to give you Sport roundups, updates, live scores and all sporting events,"
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment