Mkurugenzi wa Wakuganda in sports - Isaack Wakuganda mbali ya kuwa na taaluma ya uandishi wa habari, pia ni Mwalimu katika shule ya Sekondari ya Mkolani iliyoko wilayani Nyamagana mkoani Mwanza.
Hapa anatoa maelekezo ya jinsi ya kujibu mtihani wa Historia
kwa wanafunzi wake wa kidato cha nne ambao wanatarajiwa kuanza kufanya mitihani
yao ya Taifa hapo jumatatu ya Novemba 3, 2014 hadi Novemba 14, 2014
Wakuganda akiwa pamoja na mwalimu wa Taaluma Haji Suleman,
wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari
Mkolani nje ya jingo la utawala wa shule
Wakuganda anawatakia wanafunzi wake wa Mkolani mafanikio
kwenye mitihani hiyo huku akiwaambia kuwa A, B+ , B na C katika
Historia inawezekana . Cha muhimu ni kuzingatia maelekezo aliyowapa wakati wote
alipokuwa anafundisha.
0 comments:
Post a Comment