MCHEZO WA SIMBA NA YANGA KUSOGEZWA MBELE;WAMBURA ATAJA SABABU

Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Boniface Wambura amewataka wapenda soka kuvuta subira hadi kesho ili kujua mechi ya watani iliyoondolewa O...
Read More

RAIS MALINZI KUFUNGA KOZI YA WANAWAKE

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi anatarajia kufunga mafunzo ya uongozi kwa viongozi wa vyama vya mpira wa...
Read More

EXCLUSIVE;TAIFA STARS, BENIN KUCHEZA DAR OKTOBA 12

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inashuka uwanjani Oktoba 12 mwaka huu kuikabili Benin katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Shirik...
Read More

MOMBEKI,CHUJI WAVURUNDA OMANI;FUATILIA KILICHOJIRI

Kiungo wa zamani wa Yanga, Athumani Iddi Chuji na mshambuliaji wa zamani wa Simba, Betram Mwombeki wamefeli majaribio ya kucheza soka la ku...
Read More

CAF YAIFUNGIA JS KABYLIE YA ALGERIA MIAKA 2

Klabu ya Algeria JS Kabylie imepigwa marufuku kushiriki mashindano yeyote kwa miaka miwili . Js Kabylie ya Algeria Shirikisho la soka...
Read More

Wenger;Diaby ataanza dhidi ya Southampton

Arsene Wenger amethibisha kuwa kiungo Abou Diaby ataanza leo katika mchezo wa capital one dhidi ya Southampton baada ya kuwa nje kwa takrib...
Read More

Nyamagana kumekucha,uwekaji nyasi bandia waanza rasmi

Hatua za awali za ukarabati kuelekea uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja mkongwe wa Nyamagana Jijini Mwanza unaendelea vizuri ambapo le...
Read More

Video: angalia magoli 3 yaliyofungwa na Arsenal ndani ya dakika 4 dhidi ya Aston Villa

Arsenala ilishinda katika mchezo wake dhidi ya Aston Villa Siku ya Jumamosi kwa mabao 3 - 0. Kitu kilichoibua mshangao kwa mashabiki, ni ...
Read More