- Dakika ya 77 Fellain amekosa goli la wazi , amepiga kichawa nje
- Dakika ya 72 Navas amegonga mwamba
- Dakina ya 67 Man City yapata kona
- Dakika ya 63 Aguero ajipatia bao safi
- Dakika ya 58 matokeo bado bila bila
- Dakika ya 45 (mapumziko) Man City 0 - 0 Man U
- Dakika ya 39 Chris Smalling apewa kadi ya pili ya njano na nyekundu juu
- Dakika ya 32 Chris Smalling apewa njano
- Dakika ya 28 Blind apewa kadi ya njano kwa kumfanyia madhambi Yaya Toure
- Dakika ya 23 Man City watakata
- Dakika ya 22 Degea amezuia mchomo wa Aguero
- Dakika ya 21 Degea amepanchi mchomo wa Milner
- Dakika ya 20 Degea adaka shuti la Aguero
- Dakika ya 16 krosi safi ya Di Maria yashindwa kumfika Fellaini aliyekuwa anaisubiria Golini
- Dakika ya 13 Man United waonekana kuutalawala mchezo
- Dakika ya 9 Januzaji anakosa nafasi nzuri, kombora lake linakwenda nje
- Dakika ya 8 Aguero anakosa Goli
- Dakika ya 7 Bila bila


0 comments:
Post a Comment