Hatimaye hii leo uongozi wa klabu ya Pamba SC ya mkoani Mwanza umekiri kupokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ...
Read More
Home / Archive for November 2014
TOTO AFRICANS YAREJEA KILELENI LIGI SOKA DARAJA LA KWANZA TANZANIA BARA ;YAIZAMISHA JKT OLJORO 3-1
Klabu ya soka ya Toto Africans imefanikiwa kurejea kileleni mwa kundi B la ligi soka daraja la kwanza baada ya hapo jana kuizamisha JKT Olj...
Read More
LIGI SOKA DARAJA LA KWANZA TANZANIA BARA-KUNDI B.LIVE-CCM KIRUMBA,MWANZA.TOTO AFRICANS VS JKT OLJORO
Vikosi vitakavyoanza jioni hii:Toto Africans;Erick Ngwegwe,Bahati Wanga,Steven Kigocha,Miraji Maka,Ladslaus Mbogo,Frank Kimati,Severine Con...
Read More
UUZAJI MCHANGANYIKO WA TIKETI MWISHO WIKIENDI HII
Uuzaji mchanganyiko wa tiketi za elektroniki kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) utakoma baada ya mechi mbili za wikiendi hii kati ya Yang...
Read More
TIKETI ZA ELEKTRONIKI KUTOUZWA KWENYE MAGARI
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea wikiendi hii ambapo tiketi za elektroniki hazitauzwa tena kwenye ...
Read More
WADAU KUBUNI JEZI MPYA YA TIMU ZA TAIFA,WASHINDI KUPATA DONGE NONO
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linakaribisha wabunifu, kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa kwa mechi za nyumb...
Read More
MPANDA UTD, UJENZI RUKWA KUANZA SDL
Michuano ya Ligi Daraja la Pili (SDL) inayoshirikisha timu 24 katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenin...
Read More
NOOIJ AITA 24 STARS KUIKABILI SWAZILAND
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mp...
Read More
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)