Polisi dodoma vs jkt kanembwa – jamhuri dodoma
Polisi mara vs JKT Oljoro – Karume
Rhino rangers vs Mwadui – All hassan mwinyi
Geita gold vs Polisi tabora – Nyankumbu sec
Bukina faso – vs Green warriors - Jamhuri dodoma
Ligi hiyo itaendelea tena jumapili hii kwa mchezo mmoja
ambao utawakutanisha vinara wa kundi hilo toto africans dhidi ya panone. mchezo
huo utapigwa kwenye dimba la ccm kirumba jijini mwanza

0 comments:
Post a Comment